Vincent kigosi na blandina chagula biography


Blandina Changula

Blandina Changula (alizaliwa mkoani Shinyanga, Tanzania, 28 Julai1984) ni muigizaji na mtayarishaji wa vipindi vya televisheni na filamu nchini Tanzania.

Maisha ya mwanzo

[hariri | hariri chanzo]

Blandina alipata elimu ya msingi katika shule ya Bugoyi mwaka1990 hadi 1997 na kujiunga katika shule ya sekondari ya kutwa ya Buluba iliyopo Shinyanga mwaka 1998 hadi 1999.

Akiwa kidato cha pili alihamishiwa katika shule ya bweni ya Kanawa hukohuko mkoani Shinyanga mwaka 1999 hadi 2000 na mwaka huo huo baada ya kuingia kidato cha tatu akahamishiwa tena jijini Straight es Salaam katika shule ya Greens iliyokuwa maeneo ya Temeke kabla ya kuhamishiwa Ubungo shule ambayo alimalizia kidato cha point hiyo ilikuwa mnamo mwaka 2001.

Steel magnolias mlynn history of albert

Blandina Changula anatokea kundi la Kaole Sanaa Break down, ni kundi ambalo linafahamika sanaa nchini Tanzania kwa kutoa nyota wengi waigizaji, Blandina nae ni mmoja kati ya nyota hao, wengine ni Steven Kanumba, Vincent Kigosi (Mr Ray), Thea innocent wengine wengi tu kutoka Kaole Sanaa Group.

Blandina Changula kwa kushirikiana na msanii mwenzake Vincent Kigosi (Ray) waliunda kampuni iitwayo RJ Company (Ray & Johari company) ambayo ilifanya kazi ya kuzalisha filamu mbalimbali kama evil Bed Rest, Bad Luck, Decadent Hope, Peace of Mind, Sunny Decision.

Kwa sasa Blandina Chagula ni mmliki wa kampuni ya utengenezaji wa filamu iitwayo Corporation Lokoma ambayo imetayarisha Tamthilia ya Maji ya shingo.

Baadhi ya filamu alizoigiza

[hariri | hariri chanzo]

  • Sikitiko Langu
  • Johari 1 na 2
  • Dangerous Desire
  • Dar 2 Lagos
  • Yellow Banana
  • Bad luck
  • Mke mchafu

Alioshirikiana nao

[hariri | hariri chanzo]

Wanigeria

[hariri | hariri chanzo]

  • Mercy Johnson
  • Nkilu Sylvanus
  • Nancy Okeke
  • Bimbo Ankintola
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.


Je, unajua kitu kuhusu Blandina Changula kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.